Mshahara wa Stephane Aziz Ki Yanga 2025/2026
Mshahara wa Stephane Aziz Ki Yanga 2025/2026,malipo ya mshahara wa Stephane Aziz Ki Yanga Stephane Aziz Ki, kiungo mshambuliaji wa timu ya Young Africans SC (Yanga) na timu ya taifa ya Burkina Faso, ameandikwa rekodi kama mmoja wa wachezaji wanaolipwa zaidi katika Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) na eneo la Afrika Mashariki. Mshahara…