Jinsi ya Kuangalia Namba Yako ya Simu TIGO (YAS)
Jinsi ya Kuangalia Namba Yako ya Simu TIGO (YAS); Kwa watumiaji wa mtandao wa simu wa TIGO sasa unaojulikana kama YAS Tanzania, mara nyingi kuna haja ya kujua namba yako ya simu kwa haraka na urahisi, hasa unapokuwa na simu mpya au unapokuwa umesahau namba yako. Hapa tunakuonyesha njia rahisi za kuangalia namba yako ya…
Read More “Jinsi ya Kuangalia Namba Yako ya Simu TIGO (YAS)” »