Jinsi ya kujisajili Nida online
Jinsi ya kujisajili Nida online, Jinsi ya kujisajili na kitambulisho cha nida online Kitambulisho cha Taifa ni nyaraka muhimu inayotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa ajili ya utambuzi rasmi wa raia wa Tanzania. Kupitia mfumo wa maombi ya kielektroniki, raia wanaweza kujisajili na kupata kitambulisho hiki kwa urahisi zaidi. Hatua za…