Matumizi ya Madini ya Shaba
Matumizi ya Madini ya Shaba;Shaba ni metali yenye rangi ya waridi-kahawia, inayojulikana kwa uwezo wake mkubwa wa kupitisha umeme na joto. Kimaumbile, shaba ni laini, inaweza kuumbika kwa urahisi, na ni sugu dhidi ya kutu. Sifa hizi zimeifanya kuwa muhimu katika sekta nyingi za viwanda na biashara duniani. Muonekano wa madini ya shaba ni wa…