Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2025
Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2025: Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imetangaza rasmi majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Hii ni hatua muhimu kwa wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne mwaka 2024 na wanaotaka kuendelea na elimu ya juu…
Read More “Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2025” »