Ligi Kuu England 2025: Liverpool Mabingwa, Man United Yashindwa Kupanda Chini ya Amorim
Ligi Kuu England 2025: Liverpool Mabingwa, Man United Yashindwa Kupanda Chini ya Amorim Na Joseph, Aprili 28, 2025 Ligi Kuu ya England (EPL) msimu wa 2024/2025 imefikisha kilele cha msisimko, na leo Aprili 27, 2025, Liverpool wametangazwa mabingwa wa ligi baada ya ushindi wa kishindo wa 5-1 dhidi ya Tottenham Hotspur uwanjani Anfield. Wakati huo…