Sifa za Kujiunga na Chuo cha Sokoine University of Agriculture Mizengo Pinda Campus College (SUA MPC)
Sifa za Kujiunga na Chuo cha Sokoine University of Agriculture Mizengo Pinda Campus College (SUA MPC) Chuo cha Sokoine University of Agriculture – Mizengo Pinda Campus College (SUA – MPC), kinachojulikana pia kama Mizengo Pinda Campus College (MPCC), ni chuo kishiriki cha Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Kibaoni Ward, Mpimbwe Council, Mlele…