Sifa za Kujiunga na Chuo cha St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS)
Sifa za Kujiunga na Chuo cha St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS) Chuo cha St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS) ni chuo kishiriki cha Chuo Kikuu cha St. Augustine University of Tanzania (SAUT), kilichopo Ifakara, Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro, Tanzania, karibu kilomita 420 kusini-magharibi mwa…