Sifa za Kujiunga na Chuo cha St. Joseph University College of Health and Allied Sciences (SJCHAS)
Sifa za Kujiunga na Chuo cha St. Joseph University College of Health and Allied Sciences (SJCHAS) Chuo cha St. Joseph University College of Health and Allied Sciences (SJCHAS) ni chuo kishiriki cha St. Joseph University in Tanzania (SJUIT), kilichopo Boko Dovya, Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania. SJUIT ni chuo cha kibinafsi kilichoanzishwa na DMI Sisters…