Maisha na Safari ya Soka ya Stephan Aziz Ki
Maisha na Safari ya Soka ya Stephan Aziz Ki, Story ya Stephan Aziz Ki Stephan Aziz Ki alizaliwa tarehe 6 Machi, 1996, huko Adjamé, jijini Abidjan, Côte d’Ivoire. Mama yake ni Mwivua Coast na baba yake anatoka Burkina Faso. Alikulia katika mazingira magumu ya kiuchumi, lakini mama yake alijitahidi kumfanyia kazi na kumwezesha kupata elimu…