TCU Yatoa Orodha ya Awamu ya Pili 2025/2026 (Waliochaguliwa Zaidi ya Chuo Kimoja)

TCU Yatoa Orodha ya Awamu ya Pili: Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Zaidi ya Chuo Kimoja Yatolewa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetangaza rasmi matokeo ya awamu ya pili ya udahili kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Orodha iliyotolewa inajumuisha majina ya waombaji wote ambao wamefanikiwa kupata nafasi katika vyuo vikuu mbalimbali nchini, hususan wale waliochaguliwa…
Read More “TCU Yatoa Orodha ya Awamu ya Pili 2025/2026 (Waliochaguliwa Zaidi ya Chuo Kimoja)” »