TPS Recruitment Portal Login 2025

TPS Recruitment Portal Login 2025 Tanzania Prisons Service (Jeshi la Magereza) limeanzisha mfumo rasmi wa kidijitali uitwao TPS Recruitment Portal au kwa jina kamili Tanzania Prisons Service Recruitment Management System (TPSRMS). Mfumo huu ni maalum kwa ajili ya kujiandikisha, kuomba ajira, na kufuatilia mchakato wa kuajiriwa ndani ya Jeshi la Magereza kwa mwaka 2025. Kupitia…