Sifa za Kujiunga na Chuo cha Ualimu
Taaluma ya Ualimu ni mojawapo ya taaluma zenye hadhi na mahitaji ya kudumu katika kila kona ya nchi. Kuwa mwalimu kunahitaji kujitolea, na kuanza safari hii kunahitaji kutimiza Sifa za Kujiunga na Chuo cha Ualimu zilizowekwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (MoEST). Makala haya yanakupa mwongozo kamili na wa uhakika wa vigezo vya…