Sababu za kutokwa na uchafu wa kahawia ukeni
Sababu za Kutokwa na Uchafu wa Kahawia Ukeni, Kutokwa kwa kahawia kunamaanisha nini?, Nini maana ya kutokwa na uchafu ukeni?,Damu ya kahawia iliyokolea inamaanisha nini? Uchafu wa kahawia ukeni ni mojawapo ya aina za majimaji yanayotoka kwenye uke, ambayo yanaweza kuwa na rangi ya kahawia au kahawia iliyokolea. Hali hii inaweza kuwa ya kawaida, hasa…