TANGAZO LA AJIRA: UNITRANS TANZANIA LIMITED – APRILI 2025

TANGAZO LA AJIRA: UNITRANS TANZANIA LIMITED – APRILI 2025 Unitrans Tanzania Limited inatangaza nafasi za kazi kwa wananchi wenye sifa kujaza nafasi zifuatazo. Fursa hizi zipo katika mazingira ya Kilombero Sugar Estate na zinahusu nafasi mbalimbali za ufundi, udereva, na usimamizi. 1. MADEREVA WA LORI (70 Nafasi) Mahali: Kilombero | Aina ya Mkataba: Msimu Sifa za Mgombeaji: Leseni ya udereva Daraja…
Read More “TANGAZO LA AJIRA: UNITRANS TANZANIA LIMITED – APRILI 2025” »