Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili INEC 2025 (Yametoka)

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili INEC 2025 Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kupitia kwa Wasimamizi wa Uchaguzi katika ngazi za Wilaya na Majimbo, imetoa orodha za waombaji waliofaulu hatua ya awali na kuitwa kwenye usaili. Orodha hizi ni kwa ajili ya kuwapata watumishi wa muda watakaohusika na majukumu…
Read More “Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili INEC 2025 (Yametoka)” »