Chuo cha Ufundi VETA Dar es Salaam,Kozi 2025
Katika jiji lenye mzunguko wa kasi wa kibiashara kama Dar es Salaam, elimu ya ujuzi na ufundi ni funguo ya kupata ajira na kujiajiri. Chuo cha Ufundi VETA (Vocational Education and Training Authority) ni taasisi kuu ya Serikali inayotoa mafunzo hayo. Kujua Kozi za VETA Dar es Salaam na mahitaji yake ni hatua ya kwanza…