Wanafunzi wa Kidato cha Sita Waliochaguliwa JKT 2025/2026
Wanafunzi wa Kidato cha Sita Waliochaguliwa JKT 2025/2026, Orodha Yametoka! Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza rasmi orodha ya wanafunzi wa kidato cha sita waliomaliza mwaka 2025 walioteuliwa kujiunga na mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kwa mwaka 2025/2026. Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Rajabu Nduku Mabele, amewaalika wahitimu wote wa 2025 kutoka shule…
Read More “Wanafunzi wa Kidato cha Sita Waliochaguliwa JKT 2025/2026” »