Yanga SC Yawasili Zanzibar kwa Ajili ya Michuano ya Muungano Cup 2025
Yanga SC Yawasili Zanzibar kwa Ajili ya Michuano ya Muungano Cup 2025 Kikosi cha Yanga SC kimewasili visiwani Zanzibar tayari kushiriki michuano ya Kombe la Muungano 2025 inayofanyika Pemba, Zanzibar. Michuano hii imeanza rasmi Aprili 23, 2025, na Yanga SC wanatarajiwa kucheza mchezo wa robo fainali dhidi ya KVZ FC tarehe 26 Aprili saa 8:15…
Read More “Yanga SC Yawasili Zanzibar kwa Ajili ya Michuano ya Muungano Cup 2025” »