Sifa za Kujiunga na Chuo cha Zanzibar School of Health
Sifa za Kujiunga na Chuo cha Zanzibar School of Health Chuo cha Zanzibar School of Health (ZSH) ni taasisi binafsi ya mafunzo ya afya iliyoanzishwa mwaka 2011 na kufunguliwa rasmi na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar. Iko Zanzibar, Tanzania, na imesajiliwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Amali…
Read More “Sifa za Kujiunga na Chuo cha Zanzibar School of Health” »